By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kutana na a jasusi mbobezi kutoka Urusi aliyekamatwa nchini Marekani
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Huyu ndiye Jasusi namba Moja mwanamke kutoka Afrika kusini
Kijiweni
Iran yadai kuangusha droni ya Marekani, Washington nayo yajibu kwa kuangusha droni za Iran
Za Kitaa/Street Talks
Chama tawala nchini Uganda {NRM} chapinga pendekezo la Muhoozi kumrithi Museveni urais
Za Kitaa/Street Talks
Balozi apewa kesi ya uhani nchini Zambia
Za Kitaa/Street Talks
Tume ya Uchaguzi imetangaza matokeo ya uchaguzi, ANC yashindwa vikali
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Kijiweni > Kutana na a jasusi mbobezi kutoka Urusi aliyekamatwa nchini Marekani
Kijiweni

Kutana na a jasusi mbobezi kutoka Urusi aliyekamatwa nchini Marekani

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/14 at 9:00 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
No photo description available.

**Huyu jasusi mbobezi kutoka Urusi aliyekamatwa nchini Marekani*Anaitwa Elena Vavilova A.k.a Tracey lee Ann Foley
*Alizaliwa tarehe 16 Novemba 1962, katika mji wa Tomsk nchini Urusi.
**Kuanzia mwaka 1970 hadi 1980 alisoma katika shule iliyotoa mafunzo ya kina ya lugha ya Kijerumani ambapo Katika kipindi cha utoto na ujana wake alijifunza dansi ya ballet, muziki na uandishi wa habari.
**Mwaka 1980, alijiunga na Chuo Kikuu cha Jimbo la Tomsk huko Urusi na kusomea historia, Baada ya kumaliza chuoni alifunga ndoa na Andrey Bezrukov ambaye pia alikuwa mwanafunzi mwenzake na wakahamia pamoja jijini Moscow kuanza mafunzo ya kuwa maafisa wa ujasusi.
**Elena alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Tomsk mwaka 1985 , alikuwa ni ujasusi aliyefanya kazi kwa siri kubwa yani (deep-cover) katika nchi kadhaa akitumia jina la fake la Tracy Lee Ann Foley. Mumewe, Andrey Bezrukov, alifanya kazi naye akitumia jina fakr la Donald Howard Heathfield.
**Kulingana na historia yake ya kuficha utambulisho wake halisi (“legend”), Foley alizaliwa nchini canada akiwa anaishi Toronto na alijaliwa watoto wawili wa kiume Timothy na Alexander.
***legend ni pale jasusi anapotengeneza wasifu wa uongo ili kuficha utambulisho wake ambapo Inajumuisha kughushi nyaraka, rekodi bandia za elimu, na hati za kibinafsi ili kumsaidia jasusi kuishi kikamilifu nje ya nchi b bila kujulikana
*Mwaka 1999 Elena Vavilova
familia yake ilihamia na kuishi Cambridge ,Marekani ambapo alijulikana Kwa jina fake kama Ann Foley, alifanya kazi kwenye kampuni ya real estate
**Tarehe 27 Juni 2010,Elena
na mumewe walikamatwa katika nyumba yao huko Cambridge Kwa tuhuma kufanya ujasusi Marekani.

**Maafisa wengine kadhaa wa ujasusi kutoka Urusi pia walikamatwa wakati huo huo nchini Marekani, baada ya wiki mbili za kuzuiliwa, kundi hilo lote la majasusi kutoka urusi likawa sehemu ya mpango mkubwa zaidi wa kubadilishana majasusi kati ya Urusi na Marekani tangu Vita Baridi

**Elena alikiri mbele ya mahakama huko Mareka kwa kosa la Kuwa jasusi la Urusi nchini Marekani
**Elena Vavilova baada kurudi urusi alitunukiwa tuzo ya heshima ya “Order of Merit for the Fatherland” (Daraja la 4) inayotolewa na rais wa Urusi kwa utumishi wake na akapewa kazi katika kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya Norilsk Nickel.

***Mnamo Mei 2016, akiwa na mumewe A. Bezrukov, alitembelea Tomsk huko urusi ambapo walitembelea Chama cha Biashara na Viwanda na kutoa mihadhara kwa wanafunzi wa eneo hilo.
**Mnamo Julai 2017, alifanya mahojiano yake ya kwanza ya hadharani na kituo cha televisheni cha mkoa wa Tomsk, “Vremya”.
** Mnamo Mei 2019,Elena Vavilova alichapisha kitabu kiitwayo “A Woman Who Can Keep Secrets” (Mwanamke Anayeweza Kutunza Siri) iliyoandikwa kwa ushirikiano na Andrey Bronnikov, mkongwe wa vikosi maalum nchini Urusi , Kitabu hicho kilizinduliwa katika mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na shirika kubwa la habari la Urusi, “TASS”. Kufuatia kuzinduliwa kwa kitabu hicho Elena Vavilova alishiriki katika vipindi kadhaa maarufu vya televisheni na redio nchini Urusi.
,**Mwaka 2021 aliandika vitabu viwili vipya, “The Encrypted Heart” na “Parallel Life”,
**Mwaka 2023 aliandika kitabu kingine kiitwacho “Networking for spies. How to benefit from any acquaintance” (Mtandao majasusi , Jinsi ya kunufaika na mtu yeyote unaemfahamu), ambacho kilikuwa kitabu kilichouza sana nchini Urusi.
**Mwaka
2023, tamthilia ya televisheni iitwayo ‘The Russians’ ilitengenezwa, ikiegemea kwenye kitabu Cha kwanza ya Elena.
**Kwasasa Elena anashiriki katika vipindi mbalimbali vya televisheni na makala za video, pamoja na kutoa mahojiano..
**Pia anafanya kazi kama mkufunzi wa masuala ya biashara na mhadhiri katika shirika la Urusi la “Knowledge Society,” akifundisha kuhusu mawasiliano kati ya watu

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 14, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?