
Huyu ndiye Jasusi namba Moja mwanamke kutoka Afrika kusini**Amewahi kusoma Tanzania
**Anaitwa Luteni Jenerali Thalita Mxakato ni Mkuu wa Ujasusi Katika jeshi la Afrika kusini
**Ameishikilia nafasi hii tangu Mwaka 2021.
**Huyu ndiye mwanamke wa kwanza Afrika kusini Kuwa mkuu wa Ujasusi Katika jeshi la Afrika kusini
**Anaongoza mikakati ya usalama, ujasusi, Pia anaongoza operesheni zote za kijeshi pamoja kukabiliana na vitendo kijasusi kutoka nchi zingine
**Mwaka 1983 alijiunga na kundi la kijeshi
Umkhonto we Sizwe (MK) ,kundi hili lilianzishwa na Chama Cha African National Congress (ANC) ili kufanya mashambulizi kutoka msituni dhidi ya serikali ya ubaguzi
**Amewahi kushiriki mafunzo ya usalama nchini Angola na Ujerumani, Tanzania
**Mwaka 1994 alijunga na jeshi la Afrika kusini ambapo Moja wapo ya majukumu amekuwa akisimamia huduma za Afya za Kijeshi, Ukaguzi wa Ulinzi, Ujasusi
