By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Balozi apewa kesi ya uhani nchini Zambia
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Chama tawala nchini Uganda {NRM} chapinga pendekezo la Muhoozi kumrithi Museveni urais
Za Kitaa/Street Talks
Tume ya Uchaguzi imetangaza matokeo ya uchaguzi, ANC yashindwa vikali
Kijiweni
##Kutana na jasusi, Afisa usalama kutoka Somalia aliyetekwa na kuuawa
Kijiweni
Kutana na jasusi kutoka Kongo aliyefariki Katika kifo cha utata ..
Uvumi
Hivi jeshi la Kongo limealaaniwa na nani??
Uncategorized Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Balozi apewa kesi ya uhani nchini Zambia
Za Kitaa/Street Talks

Balozi apewa kesi ya uhani nchini Zambia

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/12 at 2:51 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
No photo description available.

Martha Lungu Mwitumwa, Balozi wa zamani wa Zambia nchini Switzerland. Martha (59) anakabiliwa na kesi ya uhaini Zambia ya kwamba alitaka kushika dola kwa nguvu kwa akishirikiana na watu ambao hawajatajwa.

Martha amewahi kuwa Balozi wa kudumu wa Zambia katika Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa huko Geneva na Vienna.

Msemaji wa Polosi, Chipo Kaitisha amedai ya kwamba Martha alipanga njama hizo Lusaka kati ya Novemba 2025 na 23 Oktoba 2026.

Amesema kuwa kwa sasa Martha yuko ndani akisubiri kufikishwa mahakamani.

Martha alianza majukumu ya Ubalozi mnamo Mei 2019 baada ya kuitumikia Serikali yake ya Zambia kwa muda wa zaidi ya miaka 30 kwa kushika nafasi mbalimbali kama Mkurugenzi wa Ikulu katika masuala ya Sherehe, Itifaki na Mkuu wa Mahusiano katika Baraza la Mawaziri.

Pia, aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Jinsia kutoka mwaka 2012 hadi 2017. Kabla ya hapo, alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya kisha kuwa Mkuu wa Mkoa kutoka mwaka 2009 hadi 2012.

Martha amefundisha kwa muda mrefu ambapo amekuwa akijihusisha sana na masuala ya Maendeleo ya Jamii

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 12, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?