By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: ##Kutana na jasusi, Afisa usalama kutoka Somalia aliyetekwa na kuuawa
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Tume ya Uchaguzi imetangaza matokeo ya uchaguzi, ANC yashindwa vikali
Kijiweni
Kutana na jasusi kutoka Kongo aliyefariki Katika kifo cha utata ..
Uvumi
Hivi jeshi la Kongo limealaaniwa na nani??
Uncategorized Za Kitaa/Street Talks
Hivi jeshi la Kongo limealaaniwa nani??
Za Kitaa/Street Talks
Mshukiwa wa mauaji ya kimbari aliyefukuzwa Marekani na kurudishwa Rwanda
Uncategorized Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Kijiweni > ##Kutana na jasusi, Afisa usalama kutoka Somalia aliyetekwa na kuuawa
Kijiweni

##Kutana na jasusi, Afisa usalama kutoka Somalia aliyetekwa na kuuawa

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/11 at 2:34 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
Why the killing of a spy is shaking the state | Article | Africa  Confidential

#From Somalia
##Kutana na jasusi, Afisa usalama alitekwa
na kuuawa
**Anaitwa Ikran Tahlil Farah ambaye alikuwa jasusi na Afisa la usalama kupitia idara ya kijasusi yaank National Intelligence and Security Agency (NISA)
**Mwaka 2021, Ikran akiwa na miaka 25, alitekwa nyara karibu na nyumbani kwake katika wilaya ya Abdulaziz jijini Mogadishu, eneo lililo karibu na makao makuu ya idara ya kijasusi nchini Somalia (NISA)
**Picha za CCTV zilimwonyesha akiingizwa Kwa nguvu kwenye gari aina ya Toyota linalofanana na magari ya NISA

**Isiku uleule alipotekwa idara ya kijasusi somalia (NISA) ilidai kuwa picha hizo za CCTV hazikuwepo kwa sababu kamera ya video haikuwa ikifanya kazi

**NISA ilitoa taarifa tarehe 2 Septemba 2021 ikidai kuwa Ikran alikuwa ametekwa na kundi la Al-Shabaab na kumuua, lakini Al-Shabaab ilikanusha kuhusika kwake.
**Mnamo tarehe 4 Septemba 2021, Waziri Mkuu Mohammed Hussein Roble alimtaka Mkurugenzi Mkuu wa NISA, Fahad Yasin, kuwasilisha ripoti kuhusu kifo cha Ikran ambapo waziri mkuu Roble alimsimamisha kazi Yasin kutokana na kushindwa kwake kuwasilisha ripoti hiyo lakini uamuzi huo ulitenguliwa na Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kwa sababu ulikuwa kinyume cha katiba. **Waziri mkuu Roble alimtuhumu rais Mohamed kwa “kuzuia uchunguzi juu ya kutekwa Ikran Tahlil Farah”
**Katika taarifa ya pamoja mnamo tarehe 7 Septemba 2021, IGAD, EU, Marekani, AMISOM na Umoja wa Mataifa zilitaka kufanyika kwa uchunguzi wa kuaminika kuhusu kutoweka kwa Ikran.
**Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NISA, Abdullahi Ali Sanbalolshe, ambaye ndiye aliyemwajiri Ikran mwaka 2017, alidokeza kuwa huenda alitekwa kwa sababu ya kuwa na taarifa nyeti na Siri nzito alidokeza kuwa alikuwa na taarifa kuhusu kupelekwa kwa siri kwa askari wapya wa jeshi la Somalia nchini Eritrea ambao huenda walitumwa Ethiopia kupigana katika Vita vya Tigray.

**Ikran alizaliwa nchini Kenya tarehe 24 Agosti 1996 na kusoma shule ya msingi huko Mandera, aliendelea na masomo katika Shule ya Aga Khan jijini Nairobi.
,**Alihitimu shahada ya kwanza (BA) katika masuala ya Mahusiano ya Kimataifa kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha (USIU) jijini Nairobi.
**Ikran alijiunga idara ya kijasusi nchini Somalia (NISA) mwaka wa 2017, ambapo alifanya katika ofisi ya mkurugenzi.
**Mnamo Oktoba 2017, alipandishwa cheo cha kuwa mkurugenzi wa Kitengo cha Uzingatiaji wa Haki za Kibinadamu Majukumu yake yalijumuisha kuratibu shughuli na Ubalozi wa Uingereza mjini Mogadishu pamoja na AMISOM katika juhudi za kujenga uwezo wa sekta ya usalama. .
**Kuanzia Oktoba 2018 hadi Julai 2019, alihamishiwa kwa muda wa kufanya kazi kama Mkuu wa Wafanyakazi katika ofisi ya meya wa Mogadishu, Abdirahman Yarisow, ambaye aliuawa mnamo Agosti 2019.
**Baadaye idara ya kijasusi Somalia ilimtuma kwenda kusoma nchini Uingereza, ambapo alipata Cheti cha Sheria ya Kimataifa ya Haki za Kibinadamu kutoka Chuo Kikuu cha Nottingham
**Mwaka wa 2020 alirejea NISA kama mkuu wa kitengo cha usalama wa mtandao hadi alipotoweka mnamo Juni 2021.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 11, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?