
**Anaitwa Noordin Haji ambaye ni mkurugurenzi wa idara ya kijasusi Kenya .
National Intelligence Service (NIS
**Alianza kazi yake kama wakili katika ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal Hapa alikuwa tayari alikuwa ni wakala wa idara ya kijasusi Kenya
National Intelligence Service (NIS
**Akiwa kama wakili katika ofisi ya Mwanasheria alikuwa ni msimamizi wa sheria.
**Haji amewahi Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma ya Kenya mnamo Aprili 2018.
**Hajiana uzoefu mkubwa katika shughuli za uchunguzi na usalama.
**Amewahi Kuwa Naibu Mkurugenzi wa dawati la Uhalifu uliopangwa, na wakati huo moja ya majukumu yake ilikuwa kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa idara ya kijasusi Kenya haswa katika uwanja wa sheria za uhalifu uliopangwa.
**Pia aliwahi kuwa Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uhalifu uliopangwa, wakati akifanya kazi katika idara hiyo hiyo ya kijasusi Kenya .
**Haji ana elimu ya kutosha inayohusu mambo ya usalama aliypoata kutoka Nje ya Kenya na ndani ya Kenya
**Haji alianza ujasusi wake kwa kujiunga kujiunga kwenye jumuiya za kislamu nchi Kenya kama mwanachana kumbe alikuwa ni Afisa wa usalama kutoka idara kijasusi Kenya
**Haji amezaliwa Mombasa Kenya ambapo kwasasa ana umri miaka 52 ..
#Haji ana ndugu yake ambaye ni jasusi anayejulikana kama
Abdul mfano mzuri wote wawili walihusika katika kupambana na magaidi walioshambuli jumba la kibiashara la Westgate mwaka 2013 ambapo walipewa sifa ya kuokoa maisha ya watu wengi licha ya hatari mbaya ambapo Abdul alionekana akimsaidia kumwokoa mama Mmarekani na binti zake watatu
**Aliyemsaidia Noordin Haji kuingia kwenye idara ya kijasusi ni baba yake mzazi
Mohamed Yusuf Haji.
**Mzee Mohamed Yusuf Haji alikuwa ni waziri wa ulinzi Kenya
**Alikuwa waziri wa mambo ya ndani Kenya
**Amewahi Kuwa mbunge kupitia Chama Cha kanu Enzi za utawala moi.
**Amewahi Kuwa waziri Katika ofisi ya rais .
