
Crispin Adam .. Huyu ni mchungaji kijana ambaye ni mwanzilishi wa kanisa la Ukuta wa maombi ambalo linapatikana Ubungo karibia na hoteli ya kagame,..
Huyu ni kiongozi wa kirohoo ambaye ameleta mapinduzi ya kifikra kupitia mahubiri yake na uandishi wake wa vitabu ambavyo amekuwa akiandika
Kwenye mahubiri yake amekuwa akifundisha neno la Mungu huku akioanisha na maisha halisi ambayo tunayoishi mtaani hali hii imesaidia watu wengi kubadilika kifikra ,Pia kwenye vitabu vyake amekuwa akitoa maarifa jinsi gani watu kujitambua, jinsi ya gani watu kutumia vipaji walivyopewa na Mungu kufanikiwa kimaisha hali hii imesaidia Jamii ambayo usikiliza mahumbili yake na kusoma vitabu vyake kubadilika kifikra na kufanikiwa …
Amekuwa ni mtu ambaye anasaidia watu waliokataa tamaa kimaisha kupata matumaini,waliokosa mwanga wa maisha kupata mwanga kimaisha kupitia mahubili yake ambayo uyatoa kila jumapili kanisa kwake..
Pia maandiko yake ambayo amekuwa akiyaweka kupitia mitandao ya kijamiii uambatana na ujumbe mzito zenye lengo la kuelimisha Jamii katika nyanja mbalimbali yamekuwa yakisaidia watu kujinua kiuchumi , kupata matumaini ya maisha , kupata mbinu ya kutatua changamoto. Zinazowakabili.. nk
Mchungaji Crispin Adam mchungaji ni mwandishi wa vitabu ambavyo vimesaidia watu mbalimbali kuongeza maarifa mfano wa vitabu hivyo ni “Uponyaji wa Moyo Uliojeruhiwa & kuumizwa.”
“Jinsi ya kulitumikia kusudio la Mungu katika maisha”
“Faida za kuomba maombi ya kumuuliza Mungu” .
Naweza kusema mchungaji ni Crispin Adam ni mkombozi wa katika jamii yetu maana amekuwa anatumia kijapaji alichopewa na Mungu kuleta maarifa chanya kwenye Jamii yetu
Unaweza kumpata mchungaji Crispin Adam kupitia namba 0754 56 64 05
