
*Huyu ndiye jasusi mkuu wa Burundi**Anaitwa Jenerali Ildephonse Habarurema mkuu wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Burundi (SNR)
***Aliteuliwa kuwa mkuu wa kijasusi mwaka 2020.
**Habarurema, mwenye umri wa miaka 49 Habarurema amekulia katika mkoa wa wa Muyinga-Burundi
Huu ni mkoa ambao unapakana na Tanzania kupitia mkoa wa Kagera ,wilaya ya Ngara
**Mwanzoni mwa miaka ya 1990 alikimbilia nchini Congo wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Burundi.
**Mwaka 1995 alirejea nchini Burundi na kujiunga na kundi la waasi la FDD na baadaye alirejea Congo .
***Baada ya CNDD-FDD kuingia madarakani kwa mara ya kwanza, Habarurema alikuwa mkuu wa ofisi ya wafanyakazi na vifaa katika shule ya mafunzo ya kijeshi ya Burundi yani (Institut supérieur des cadresmilitaires, ISCAM) kuanzia 2005 hadi 2006.
**Baadhi ya Maafisa wa zamani wa kijeshi nchini Burundi walisema kuwa wakati huo, alihusika na mambo ya kijasusi Katika eneo hilo.
**Mwaka 2006 alienda nchini China kupata mafunzo ya kijeshi.
**Mwaka 2007 aliporejea Burundi aliteuliwa kuwa naibu mshauri wa kijeshi Katika ofisin ya rais ambapo alifanya kazi na Kwa karibu sana na Ndayishimiye ambaye kwasasa ndiye rais wa Burundi, huyu Alikuwa ni mshauri mkuu kijeshi WA rais .
**Inasemekana Habarurema na
Ndayishimiye
Walikuwa katika aina fulani ya mashindano wakati wakiwa ofisi Moja ya rais na wafisa wa zamani wa jeshi alisema
Habarurema
“Ildephonse hakutaka (Ndayishimiye) kuwa bosi wake. Alitaka kuwa katika kiwango sawa.” Ndayishimiye
, Inasemekana Habarurema angeweza kukutana na Nkurunziza moja kwa moja, bila kupitia kwa bosi wake Ndayishimiye,
Pia rais “Nkurunziza aliweza kutoa misheni kwa
Habarurema
“Ildephonse
moja kwa moja bila kumpitia kwa Ndayishimiye,”
**Kuanzia mwama 2009 hadi 2013 aliteuliwa kuwa msimamizi wa ujasusi wa kijeshi katika makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Kitaifa nchini Burundi
**Mwaka 2013 hadi 2014 aliteuliwa kuwa katibu mkuu katika Baraza la Usalama la Kitaifa hadi Novemba 2014, na akaendelea kuwa katibu mkuu katika Wizara ya Ulinzi.
***Mwaka 2015 rais Nkurunziza alimteua Habarurema kama mshauri mkuu wa kijeshi katika ofisi yake.
** Desemba 2018 rais Nkurunziza alimteua Habarurema kama mshauri mkuu wa idara ya ujasusi nchini Burundi (SNR,) ambapo alifanya kazi chini ya mkuu wa idara ya kijasusi Burundi (SNR) ndugu Étienne Ntakarutimana,maarufu kama (steve) Kufikia wakati huo, uhusiano kati ya Nkurunziza na Ntakarutimana ulikuwa wa wasiwasi kwahiyo (Habarurema) aliwekwa pale ili kumwangalia
Étienne Ntakarutimana.
