By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kutana na Luteni Ornella Bukeyeneza ,komandoo wa kike kutoka Burundi
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
CHALAMILA NIKAMA KAGAME APIGA MARUFUKU  MAKANISA YA HOVYO.
Kijiweni
Pigo kwa Benjamini Netanyahu: Eisenkot akabidhiwa jukumu la kuunda serikali mpya ya Israel
Uncategorized
Kutana na a jasusi mbobezi kutoka Urusi aliyekamatwa nchini Marekani
Kijiweni
Huyu ndiye Jasusi namba Moja mwanamke kutoka Afrika kusini
Kijiweni
Iran yadai kuangusha droni ya Marekani, Washington nayo yajibu kwa kuangusha droni za Iran
Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Kutana na Luteni Ornella Bukeyeneza ,komandoo wa kike kutoka Burundi
Za Kitaa/Street Talks

Kutana na Luteni Ornella Bukeyeneza ,komandoo wa kike kutoka Burundi

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/15 at 9:50 AM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
Komandoo kutoka  nchini  Burundi

###From Burundi
##Kutana na komandoo wa kike kutoka Burundi ..
**Anaitwa Luteni Ornella Bukeyeneza kutoka jeshi la Burundi.
**Alijiunga na jeshi la Burundi mwaka 2011 baada ya kumaliza elimu yake ya secondary kwa kupitia chuo cha kijeshi
Nchini Burundii kinachojulikana kama
ISCAM (Institut Supérieur des Cadres Militaires)
**Luteni Ornella Bukeyeneza
Baada ya kufaulu kwenye majaribio mbalimbali ya kujiunga na jeshi la Burundi alianza mafunzo ya kijeshi.
**Akiwa kwenye chuo cha kijesha alikuwa anachezea timu ya Netiboli .
**Mwaka 2015 alianza kucheza na kupata mafunzo ya Karate.
**kwa sasa ni Rais wa Kamisheni ya karate kwa upande Wanawake nchini Burundi (FEBUKA)
**Pia Luteni Ornella Bukeyeneza
mkufunzi wa makomando katika kituo cha mafunzo cha makomandoo nchini Burundii huko mjini Gitega .
**Luteni Ornella Bukeyeneza alikuwa mwanajeshi wa kwanza kwa upande wa wanawaka katika historia ya jeshi la Burundi Kwa kushuka kutoka angani mpaka nchini akitokea kwenye helikopta,tukio hilo lilitokea wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 57 ya uhuru wa Burundi mwaka 2019 ,hakika aliushangaza umati ambapo rais wa Burundi alimuahidi kumpa zawadi ya ng’ombe wawili kwa kutambua kitendo chake cha ushujaa.
**Amezaliwa na kukulia Bujumbura, Burundi, amevutia watu wengi kwa kuvunja dhana potofu za kijinsia katika uwanja wa kijeshi unaotawaliwa na wanaume.
**Anasema akiwa mdogo alikuwa anavutiwa kuangalia gwaride la kijeshi akitazama pamoja na baba yake ambaye afisa wa zamani wa polisi nchini Burundi.
**Anasema kabla ya kujiunga na jeshi la Burundi alikuwa anataza filamu nyingi zaidi na makala kuhusu maisha ya wanajeshi, hasa kwenye uwanja wa vita ambapo alielewa kuwa taaluma hiyo ni nzuri kwa sababu wanajeshi wanatoa mwili na roho kwa manufaa ya taifa na wananchi wenzao.”
**Anasema aliweka kando ushauri kutoka kwa marafiki na jamaa ambao walikuwa wanasema hawezi Kuwa mwanajeshi

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 15, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?