By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Hakuna atakayenizuia kuwania urais:Muhoozi
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Huyu ndiye Noordin Haji afisa wa usalama na jasusi mkuu kutoka Kenya
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na mchungaji Crispin Adam aliyeleta mapinduzi ya kifikra kupitia mahubiri yake na uandishi wa vitabu
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Jenerali Ildephonse Habarurema  jasusi mkuu wa Burundi
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Afisa usalama na jasusi namba moja mwanamke kutoka canada.
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Luteni Ornella Bukeyeneza ,komandoo wa kike kutoka Burundi
Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Hakuna atakayenizuia kuwania urais:Muhoozi
Za Kitaa/Street Talks

Hakuna atakayenizuia kuwania urais:Muhoozi

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/17 at 6:27 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet

Mkuu wa Jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametishia kuwafunga jela kwa miaka 10 watu watakaomtukana au kumdhalilisha Rais Yoweri Museveni, mwanafamilia wa Museveni ikiwemo yeye mwenyewe.

Katika ujumbe aliouchapisha kwenye akaunti yake ya mtandao wa X, Muhoozi, ambaye pia ni mwanaye Rais Museveni, alitoa onyo jingine kwa mashirika ya habari ya kimataifa yanayofanya kazi nchini Uganda, akidokeza kuwa serikali inapanga kuanzisha sera mpya itakayosimamia jinsi wanaendesha shughuli zao.

“Karibuni nitatangaza sera mpya kuhusu shughuli za vyombo vyote vya habari vya kigeni nchini Uganda. Siku zao za kuitukana nchi yetu zimefika mwisho,” aliandika Muhoozi.

Hata hivyo, bado hajaeleza kwa kina sera hiyo inayopendekezwa wala kutaja hatua ambazo vyombo vya habari vya kigeni vinaweza kuchukuliwa.

Vitisho hivyo vinatolewa takriban siku kumi baada ya shirika la habari la AFP kuripoti, likinukuu vyanzo ndani ya chama tawala cha National Resistance Movement (NRM), kuwa maafisa wakuu wa chama hicho walikuwa wamekataa pendekezo la Rais Museveni la kumtaka mwanawe kuwa mrithi wake.

Hata hivyo, NRM imekanusha taarifa hizo.

Licha ya katiba ya Uganda pamoja na kanuni za maadili za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kuwataka maafisa wa kijeshi kutokuwa na misimamoya kisiasa na kuwazuia kushiriki katika shughuli za kisiasa za vyama, Muhoozi amekuwa akieleza mara kwa mara nia yake ya kuwania urais na kutoa vitisho dhidi ya viongozi wa upinzani.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 17, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?