*Kwanza ni naibu mkurugenzi mtendaji anayesimamia baraza la mikakati na sera Katika ofisi ya rais.
**Ange kagame kabla ya kuteuliwa Kuwa naibu
mkurugenzi mtendaji anayesimamia baraza la mikakati na sera
alikuwa ni mchambuzi mkuu wa sera tangu Mwaka 2019 Katika ofisi ya rais.
**Ana digree ya sayansi ya siasa na masuala ya kimataifa kutoka huko Marekani.
Usiyo yajua kutoka Ange kagame mtoto wa Kagame .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
**Ange kagame anafanana kitabia na rais Kagame..
**Ana nguvu na ushawishi ndani ya serikali ya Rwanda.
**Inadaiwa rais Kagame akiwa nje ya nchi ukaimu nafasi ya urais .
**Inadaiwa baadhi ya wakuu wa vyombo vya usalama wanaripoti kwa Ange kagame Moja kwa moja.
**inadaiwa anaigia kwenye vikao muhimu ambavyo vinakutanisha wakuu vyombo vya usalama vya Rwanda pamoja na rais Kagame ndani ya ikulu
Usiyoyajua kutoka kwa Ange kagame ambaye ni mtoto wa rais Kagame .
Leave a comment
Leave a comment
