By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kutana na komandoo Mamadou Mustafa Ndala mzalendo aliyeuawa kutokana na kupenda nchi ya Kongo
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Wakongo watakiwa kumshukuru rais wa Burundi mhe: Evariste Ndayishimiye
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Agathon Rwasa kiongozi wa upinzani maarufu mwenye nguvu nchini Burundi .
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na afisa wa usalama kutoka Uganda ,Luteni Herbert Matanda Mabonga aliyefichua video za wapinzani kuteswa
Za Kitaa/Street Talks
Pata elimu,Je unajua hili kwenye ujasusi??
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Anna Vasilyevna Chapman jasusi kutoka Urusi aliyekamatwa Marekani
Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Kutana na komandoo Mamadou Mustafa Ndala mzalendo aliyeuawa kutokana na kupenda nchi ya Kongo
Za Kitaa/Street Talks

Kutana na komandoo Mamadou Mustafa Ndala mzalendo aliyeuawa kutokana na kupenda nchi ya Kongo

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/21 at 2:28 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet

ngo


**Komandoo mzalendo aliyeuawa kutokana na kupenda nchi ya Congo

#Anaitwa komandoo Mamadou Mustafa Ndala ambaye alizaliwa 1978 ambaye alifariki mwaka 2014 akiwa na umri miaka 35 tu
#Alikuwa komandoo wa kikosi cha 42 cha Commando Units Rapid Reaction FARDC, ambacho kiliundwa na Ubelgiji, Angola,
Marekani na Uchina.

#Ndala alijiunga na jeshi mwaka 1997 ambapo Mwaka 2011, alipandishwa cheo na kuwa kanali ambapo aliongoza Kikosi cha 42 cha Makomando wa Kitengo cha Rapid Reaction.
#Ndala alisifika na kupendwa na wakazi wa Goma kutokana na uwezo wake kupigania taifa la Congo kwa moyo Moja
#Mwaka 2013, aliongoza mashambulizi makali dhidi ya wapiganaji wa M23 waliouzingira mji wa Goma na kupata ushindi mkubwa.
#Ushindi Ndala dhidi ya M23 uliwafanya watu wa Goma kuondoa mashaka waliokuwa nao kwa jeshi la Congo maana wananchi wa Goma walikuwa wakifanya ghasia za kulalami jeshi lao kutokana kutochukua hatua Kali dhidi ya M23 mfano ni Novemba 2012 wakati M23 walipouteka mji wa Goma,
#Kabla ya M23 kuuteka mji wa Goma Miezi mitatu kabla, katika mahojiano na mwandishi wa habari wa Ubelgiji Colette Braeckman, Jenerali wa Rwanda ,jasusi mbobezi James Kabarebe alidai kwamba jeshi la Kongo halikuwa na uwezo hata wa kuua panya.
#Wakongo wakiwa katika,huzuni,unyonge na mchanganyiko wa chuki Walistaajabu kuona Komandoo Ndala akiongoza mapambano dhidi M23 mpaka kufikia hatua ya kuonyesha miili ya maadui zao ambapo M23 walipata hasara kubwa.
#Alipata umaarufu kwa ushindi mkubwa dhidi ya wapiganaji M23 mwaka 2013 ..
#Alifariki mwaka 2014 baada ya kuchomwa akiwa kwenye gari lake akiwa na pamoja na wawili baada ya kutokea shambulio la kuvizia, waasi wa Uganda wa ADF ndio walifanya shambulio .
#Katika kuthibitisha usaliti ndani ya jeshi la Congo Wanajeshi wawili wa Jeshi la Congo walipatikana na hatia ya kuajiri waasi wa ADF kutekeleza mauaji ya komando Ndala kwa dola 20,000

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 21, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?