***Huyu anaitwa Luteni Herbert Matanda Mabonga kutoka kitengo Cha ujasusi Katika jeshi la uganda (CMI)
**Amefichua siri Kwa kuonyesha video jinsi wapinzani na wakosoaji Serikali ya Uganda wanavyoteswa kikatili sana.
**Ameonyesha jinsi ukiukwaji wa haki za binadamu unaoongozwa na maafisa wa kijeshi wakatili ndani ya Uganda.
**Luteni Maboga alienda mbali zaidi Kwa kuonyesha video ya mwanaharakati wa upinzani Sam Mugumya akiwa na maumivu makali katika kituo cha kijeshi ambacho bado hakijafichuliwa
**Pia ameonyesha video ya mwanasiasa wa upinzani Mh muwanga kivumbi akiteswa
Kutana na afisa wa usalama kutoka Uganda ,Luteni Herbert Matanda Mabonga aliyefichua video za wapinzani kuteswa
Leave a comment
Leave a comment
