By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Huyu ndiye Luteni Jenerali Kayumba Nyamwasa afisa wa usalama,jasusi kutoka Rwanda aliyeponea chupu chupu kuuawa.
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Usiyoyajua kutoka kwa Ange kagame ambaye ni mtoto wa rais Kagame .
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na komandoo Mamadou Mustafa Ndala mzalendo aliyeuawa kutokana na kupenda nchi ya Kongo
Za Kitaa/Street Talks
Wakongo watakiwa kumshukuru rais wa Burundi mhe: Evariste Ndayishimiye
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Agathon Rwasa kiongozi wa upinzani maarufu mwenye nguvu nchini Burundi .
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na afisa wa usalama kutoka Uganda ,Luteni Herbert Matanda Mabonga aliyefichua video za wapinzani kuteswa
Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Huyu ndiye Luteni Jenerali Kayumba Nyamwasa afisa wa usalama,jasusi kutoka Rwanda aliyeponea chupu chupu kuuawa.
Za Kitaa/Street Talks

Huyu ndiye Luteni Jenerali Kayumba Nyamwasa afisa wa usalama,jasusi kutoka Rwanda aliyeponea chupu chupu kuuawa.

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/22 at 9:41 AM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
No photo description available.

**Kutana na Afisa usalama , jasusi aliyeponea chupu chupu kuua ,huyu ni Luteni Jenerali Kayumba Nyamwasa

**Alikuwa Mkuu wa Majeshi ya Rwanda kuanzia mwaka 1998 hadi 2002,
**Aliwahi kuwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Rwanda
**Amewahi kuwa Balozi wa Rwanda nchini India kati ya mwaka 2004 na 2010.

**Alizaliwa katika nchini Uganda Katika jamii ya kitutsi ambapo alikulia na kupata elimu ya msingi ambapo alisoma katika shule ya Seminari ya Mtakatifu Paulo, Rushoroza huko Kabale nchini Uganda
,Pia elimu ya juu alisoma katika Chuo cha St. Henry’s Kitovu.
**Baadae alipata shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Makerere.

**Mwaka 1986 Alijiunga na kundi la waasi la (NRA )ambalo lilikuwa linaongozwa na Yoweri Museveni (NRA)
**Mwaka 1990 akiwa na Paul Kagame alishirikiana katika kuunda kundi la waasi wakati huo Rwandan Patriotic Front (RPF)
kwenda kupambana na serikali ya Rwanda .
*Baada ya kutofautiana na Rais Kagame, Nyamwasa alikimbilia Afrika kusini

**Mwaka 2010 Nyamwasa alipigwa risasi ya tumbo huko Johannesburg, Afrika Kusini ambapo watu kadhaa walikamatwa kutokana tukio hilo
**Mfanyabiashara wa Rwanda Pascal Kanyandekwe alishtakiwa nchini Afrika Kusini kwa kupanga njama hiyo, lakini hakufikishwa mahakamani .
**Jean-Léonard Rugambage ambaye mwandishi wa habari wa Rwanda ambaye alichunguza jaribio la kuuawa Nyamwasa, aliuawa siku chache.
**Nyamwasa anashutumiwa na serikali ya Rwanda kwa kuhusika na vitendo vya ugaidi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi matatu ya guruneti mjini Kigali Mwaka 2010 lakini hakukamatwa nchini Afrika Kusini kutokana na ukosefu wa ushahidi **Pia Mahakama Kuu ya Kijeshi huko Kigali ,Rwanda alihukumiwa yeye na waanzilishi wengine wa RNC kwa vitendo vya kigaidi,
** Ripoti ya Desemba 2018 kutoka Umoja wa Mataifa inamshutumu Nyamwasa kwa kwa kusafiri kwenda jimbo la Kivu Kusini la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
kuajiri wanajeshi kupigana na Rwanda

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 22, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?