
#Jasusi mbobezi na Afisa wa jeshi aliyeishia jela.
**Anaitwa Meja generali James Birungi kutoka nchini Uganda
#Aliyewahi kuwa Mkuu wa kitengo Cha Ujasusi katika Kijeshi la Uganda yani
the Chieftaincy of Military Intelligence (CMI.
**Amewahi Kuwa
kamanda wa kikosi maalum chenye jukumu la kumlinda rais yani Special Forces Command (SFC),Hiki kikosi chenye Wana usalama Wenye mafunzo ya hali ya juu.
**Amewahi kutumwa Sudan Kusin kufanya kazi maalum ya Kufatilia mchakato wa amani .
#Tarehe 26/6/2025 alitumwa nchini Burundi kama mwambata katika ubalozi wa Uganda l
*Alikamatwa mwaka 2025 na kuzuiliwa katika Gereza la Kijeshi la Makindye kwa tuhuma za uhaini, rushwa na makosa mengine makubwa.
#Kukamatwa kwake ulifatia uchunguzi wa hali ya juu ulioongozwa na Luteni Jenerali Sam Okiding ambao ulifichua utovu wa nidhamu na kasoro zilizoenea ndani ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF), ikiwa ni pamoja na ujasusi na matumizi mabaya ya rasilimali.
#Taarifa ambazo siyo rasmi anatuhumiwa Kwa kupanga kupindua rais Museveni,Pia anatuhumiwa kuifanyia ujasusi nchi Fulani ambayo ni jirani na Uganda akisimama kama double agent..
