Mwl Busungu JB Ni mwandishi maarufu wa vitabu vya sekondari na vyuo aliyezaliwa kwa ajili ya utashi wa kuandika vitabu vinavyopendwa kutumiwa na walimu mbalimbali hapa nchini Tanzania.
**Kupitia vitabu vyake Mwl Busungu JB amesaidia wanafunzi wengi kufaulu mitihani ya taifa kwasababu vitabu vyake vina maarifa ambayo inawasaidia wanafunzi kuwa na uelewa kujibu mitihani ya taifa .
**Waalimu wengi na wanafunzi wa vyuo mbalimbali wanajivunia uandishi unaotumiwa na mwandishi huyu kwa kuvipa jina maarufu *Busungu JB*
**Historia yake
Mwl Busungu ni mzaliwa wa kijiji cha Busongo wilaya ya misungwi mkoani Mwanza ,alianza masomo yake katika shule ya Msingi Buhungukila alipohitimu alichaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari shule ya sekondari Busongo na kufanikiwa kufaulu vizuri na kumfanya awe mwanafunzi bora aliyechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano katika shule maarufu ya OSWARD MAN’OMBE HIGH SCHOOL Mkoani MARA ambayo kwa sasa ilipewa heshima kubwa ya kuwa Chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology.
~MJNUAT) hivyo baada ya ufaulu mzuri alichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha elimu maalumu SEBASTIAN KOLOWA ~SEKOMU mkoani Tanga na kuifanya ndoto yake kutimia baada ya kufanikiwa kuhitimu masomo ya Shahada ya elimu ya Sayansi
**Mwl Busungu amefundisha shule nyingi na kuzifanya ziwe shule zenye kujivunia kipaji chake kwa usimamizi wa watoto kwa nyashifa mbali mbali alizokuwa akipewa kama vile Usimamizi wa taaluma, Malezi na maadili ili kutimiza ndoto za wanafunzi katika shule tofauti tofauti zikiwemo
1.Kanyelele secondary school
2. Mnazi secondary school
3. St. Mary’s Mazinde Juu secondary school
4. Musoma utalii secondary school
5. St. Methew’s secondary school
6. Musoma Utalii Teachers Collage
**Kwa sasa Mwl Busungu ni mwandishi mbobezo wa vitabu pendwa kwa ajili ya waalimu na wanafunzi shule za sekondari hapa nchini Tanzania 0katika masomo ya Sayansi
Vitabu hivi ni kama vifuatavyo
1. Advanced level Biology Concepts (Busungu JB)
2. Advanced level Chemistry Concepts (Busungu JB)
3. Complete Biology (Busungu JB)
4. Advanced Biology Practical Manual (Busungu JB)
5. Advanced Chemistry Practical Manual (Busungu JB)
6. Organic Chemistry for A level students (Busungu JB)
7. Complete Chemistry for A level students (Busungu JB)
8. Complete Geography (Busungu JB)
9. Physcial Geography (Busungu JB)
10. Practical Geography (Busungu JB)
11. A level Biology Vol 1(Busungu JB)
12. A level Biology Vol 2 (Busungu JB)
13. General and Inorganic Chemistry (Busungu JB)
14. Physcial Chemistry (Busungu JB)
15. Solved questions for A level Biology (Busungu JB)
16. Biology series for A level students (Busungu JB)
17. Solved questions for A level Geography (Busungu JB)
18. Simplified Chemistry for A level students (Busungu JB)
19. Simplified Organic Chemistry for A level students (Busungu JB)
20. Biology for O’level students (Busungu JB)
21. Chemistry Concepts for O~level students (Busungu JB)
Hivyo Mr Busungu ni hadhina kubwa katika kuinua taaluma katika tasnia hii ya elimu..
Kama unahitaji kitabu chochote Kwa ajili ya wanafunzi kwa bei rafiki kŵa kila mwenye uhitaji atapata punguzo la bei na kupata nakala nzuri kwa tsh 10,000 tu ya kitanzania Piga simu 0766570618\\
HIVi VITABU BORA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA SITA ![]()
0766570618
1. BIOLOGY PRACTICAL MANUAL
2. CHEMISTRY PRACTICAL MANUAL
3. PHYSICS PRACTICAL MANUAL
4. COMPLETE BIOLOGY
5. COMPLETE CHEMISTRY
6. COMPLETE GEOGRAPHY
7. BIOLOGY CONCEPTS
8. COMPLETE PHYSICS
9. ORGANIC CHEMISTRY
10. HISTORY FORM FIVE
11. HISTORY FORM SIX
12. kISWAHILI KIDATO CHA 5& 6
13. TAHAKIKI YA KISWAHILI KIDATO CHA 5&6
14. HISTORY F5 & 6 REVIEW
15. LITERATURE IN ENGLISH
