Huyu kijasusi unaweza kumwita #Agent of influence .**Mwezi wa nane Mwaka huu wakati rais kagame akiongea na wandishi habari kulitokea majabizano kati ya Mwandishi wa habari scovia mutesi na
ambaye ni mwandishi wa habari na Mchambuzi na masuala ya kisiasa ambapo kijasusi naweza kumwita agent of influence.
**Sasa Albert Rudatsimburwa alivyokuwa anaongea mbele ya rais kagame kwa ubabe sana, kujiamini kupita kiasi hali hiyo ilisababisha mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Rwanda baadhi ya wanyarwanda wakitaka kujua ni wapi amepata ujasiri wa kumjibu rais kagame vile mtu ambaye Rwanda anaogopwa sana
**Baadhi wa wanyarwanda wasiyomjua vizuri Albert Rudatsimburwa waliulizana kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kujua anafanyia chombo gani cha habari na an
**Albert Rudatsimburwa ni mtu wa karibu sana na rais kagame kwahiyo wana uhusiano wa muda mrefu.
**Ngoja niwape histori kidogo Albert Rudatsimburwa amewahi kuishi Burundi kama mkimbizi baadae alienda Ubelgiji kama mkimbizi nakufanya shughulii za mziki.
**Mwaka 1994 wakati rais kagame akiongoza RPF kupambana na serikali ya Rwanda Albert Rudatsimburwa alizunguka huko Ulaya kutafuta michango yani fedha kusaidia RPf**Mwaka 2004 Albert Rudatsimburwa alianzisha Kituo Cha radio cha contact fm ambacho kilikuwa vipindi kinachoitwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi.
**Albert Rudatsimburwa ni maarufu sana kwenye mtandao wa Twitter Katika kuandika makala ya kutetea na kusifia serikali ya Rais kagame.
*Pia Albert Rudatsimburwa anasifika kwa kuendesha propaganda nzuri juu ya serikali ya Rais kagame na kuendesha propaganda mbaya dhidi ya wapinzani wa serikali ya Rais kagame ndio maana nimesema kijasusi unaweza kumwita agent of influence
**Amekuwa akialikwa na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali kuendesha mada za kutetea na kusifia serikali ya Rwanda .
**Amekuwa akialikwa kushiriki mikutano waandishi wa habari ya rais Kagame pamoja na kurekodi matukio kisiasa ya Chama tawala Rwanda RPF -Inkotanyi.
**Albert Rudatsimburwa hana cheo rasmi serikali ni #influence of agent ambapo anatumikia kimkakati katka sekta ya habari na propaganda anayesaidia kusukuma mbele ajenda na Mtanzamo wa rais Paul kagame ndani na nje ya Rwanda
###Mwisho ninayo mengi kuhusi Albert Rudatsimburwa lakini Leo nimeisha hapa
