***Mkurugenzi wa kampuni ya Heirz Holding Tanzania,
***Kijana mdogo anayeongoza makampuni zenye mafanikio,
**Aleta hamasa kwa vijana wengine Tanzania.

Ni furahaa sana unapoona kijana mdogo anafanya mambo makubwa kwenye Jamii yenye kuleta matokeo chanya ,Pia ni furaha unapoona kijana mdogo anaongoza makampuni zenye mafanikio …
Mara nyingi tumezoea kusikia vijana kutoka Ulaya au Marekanj ndio wanafanya makubwa lakini niseme hapa Tanzania wapo vijana wanafanya makubwa sana .
Herzon Ernest ambaye amezaliwa 1998 ni kijana wa mfano wa kuigwa,pia ni kijana ambaye anatia hamasa kwa vijana wengine kupambana kuhakikisha wanatimiza ndoto zao..
Tunajua Kwa kijana kutoka Afrika kutimiza ndogo yake siyo jambo jepesi maana ni jambo ambalo linahitaji,ujasiri,uvumilivu,uthubutu maana kwenye harakati za kutimiza ndoto yoyote zipo changamoto kibao..
Herzon Ernest amefanikiwa kuitimiza ndogo yake ya kuanzisha Kampuni yake ambayo inajulikana kama Heirz Holding Company limited hapa Tanzania…
Kampuni ya Heirz Holding inahusika katika kuuza oil [vilainishi ] vya magari,viwanda,kupaka rangi magari,kuuza mabati
Ndani ya kampuni Heirz Holding kuna kampuni nyingine ya heirz insurance hii ni kampuni ambayo inahusika na bima mfano bima za magari,bima za afya,bima za wizi,bima za mizjgo,bima za dhamana,nk
Kampuni ya heirz insurance inasifika kwa kutoa huduma bora nchini Tanzania kwa wateja ambayo wamefanikiwa kupata huduma kupitia kampuni hii wamesifia kampuni hii kutoa huduma kwa muda bora
Ukisikia kijana ambaye amezaliwa mwaka 1998 ameanzisha kampuni ambayo ipo hai, kampuni ambayo inatoa huduma bora kwa wateja siyo jambo la kawaida ,Naweza kusema Herzon Ernest ni kati kijana mpambanaji ambapo vijana wengi wa Tanzania wanatakiwa kujifunza kwake…
Katika kuendeelea kutanua kampuni yake Afrika mashariki hivi karibuni alifungua matawi ya kampuni yake nchini Rwanda,Kenya ambapo anategemea kufungua kampuni nchini Burundi.
Anasema changamoto alizopitia kwenye maisha yake ndizo zimefanya apambane aweze kufikia ndoto yake maana kuna wakati alishindwa kumaliza chuo kutokana na changamoto za kifamilia. ambayo wamefanikiwa kupata huduma kupitia kampuni hii wamesifia kampuni hii kutoa huduma bora
unaweza kuwasiliana nae kwa biashara 0760 016238
