By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Anaitwa Gina Cheri Walker Haspel Afisa usalama , jasusi namba moja duniani kwa upande wa wanawake
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Huyu ndiye Bertrand Bisimwa anayeendesha maisha yake kwa kuanzisha makundi ya waasi nchini Kongo
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Tânia Paiva kijana mdogo anayeongoza idara ya kijasusi kutoka nchini Angola
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye kanali Tom Byabagamba mlinzi wa rais Kagame aliyefariki akiwa jela
Kijiweni
Usiyoyajua kutoka kwa Angeline Ndayishimiye ambaye ni mke wa rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye
Kijiweni
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi ,Agathon Rwasa amewasilisha fomu za kugombea urais
Za Kitaa/Street Talks
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Anaitwa Gina Cheri Walker Haspel Afisa usalama , jasusi namba moja duniani kwa upande wa wanawake
Za Kitaa/Street Talks

Anaitwa Gina Cheri Walker Haspel Afisa usalama , jasusi namba moja duniani kwa upande wa wanawake

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/24 at 12:36 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
No photo description available.

**Afisa usalama na jasusi namba Moja duniani kwa upande wa wanawake
**Gina Cheri Walker Haspel amezaliwa mwaka 1956 ambaye ni mtaalam mambo ya usalama na ujasusi nchini Marekani.
**Huyu ni mwanamke wa kwanza kuwa mkurugenzi wa kudumu wa shirika la kijasusi (CIA ).nchini Marekani.
**kuanzia mwaka 2018, hadi Januari 20, 2021 Alikuwa naibu mkurugenzi wa shirika hilo
**Kuanzia Mwaka 2017 hadi 2018 akawa kaimu mkurugenzi wa shirika hilo ambapo baadaye aliteuliwa na kuthibitishwa Kuwa mkurugebzi wa CIA

*Haspel alijiunga na CIA mwaka 1985 akiwa kama Undercover
ambapo mission yake kwanza ya kijasusi ilifanyika Afrika nchini Ethiopia mwaka 1987 hadi 1989 baadae alienda Uturuki, Ulaya na nchi nyingine.
**Kuanzia mwaka 1996 hadi 1998 jasusi Haspel alikuwa kama mkuu wa kituo Cha ujasusi huko Baku, Azerbaijan.
** Kuanzia 2001 alikuwa Naibu Mkuu wa Kituo Cha kupambana na Ugaidi nchini Marekani
**Mwaka 2002 Haspel alipewa jukumu la kusimamia gereza la siri la CIA nchini Thailand Detention Site GREEN, lililopewa jina la kificho “Jicho la Paka, ambalo lilikuwa na watu wanaoshukiwa kuhusika na Al-Qaeda. Gereza hilo lilikuwa sehemu ya mpango wa serikali ya Marekani wa “utoaji wa adhabu” baada ya mashambulizi ya Septemba 11, na lilitumia mbinu za mateso kama vile kuogelea kwenye maji.
**Mwaka 2003, Haspel alikuwa mkuu wa kituo cha gereza Siri la “black site” la CIA lililoko nchini Thailand.
katika Katika gerezani hilo ambalo lilipewa jina la “Jicho la Paka”, baadae lilijulikana kama mahali ambapo washukiwa wa ugaidih wa al-Qaeda waliwekwa kizuizini na kuteswa kwa njia ya maji.
**Haspel amewahi kupokea tuzo kadhaa kutoka serikali ya Marekani zikiwemo Tuzo ya a George H. W. Bush kwa umahiri katika kukabiliana na ugaidi,
**Tuzo ya Donovan ya Medali ya Ujasusi ya Ubora, Tuzo ya
Presidential Rank Award.
**Haspel aliolewa na Jeff Haspel aliyekuwa Mwanajeshi katika Jeshi la Merikani lakini waliachana mwaka wa 1985.
NIMEFUPISHA ANA historia ndefu …. 

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 24, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?