,##Kutana na kachero kutoka congo..
**Anaitwa Nathalie Kienga Huyu ndiye anayesimamia usalama na ulinzi wa Mitandao Katika ofisin ya rais nchini Kongo.
**Kitengo anachosimamia linaitwa National Cybersecurity and National Cyber Defense Council.
**Nathalie Kienga ana jukumu muhimu katika serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kama Mkuu wa Usalama wa Kitaifa wa Mtandao na Naibu Mratibu wa Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Mtandao ndani ya Ofisi ya Rais.
**Anachunguza na kuzuia matishio yote kupitia mitandao.
**Aliteuliwa kwa mara ya kwanza kama Mshauri wa Usalama wa Mtandao Mwaka 2022
**Nathalie Kienga ni mwanzilishi wa Taasisi ya Afrika ya Usalama wa Mitandao na Usalama wa Miundombinu ambayo aliiunda Mwaka 2021 huko Kinshasa
**Ana shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA) katika Usalama wa Mitandao, Usalama wa Kimataifa na Hatari
**Akiwa mtaalamu wa usalama wa mitandao kwa zaidi ya miaka 10, ameshika nafasi mbalimbali katika sekta nyingi (benki, nchini Ufaransa na Uswizi.
Nathalie Kienga kachero anayesimamia usalama na ulinzi katika ofisi ya rais nchini Kongo
Leave a comment
Leave a comment
