
##Huyu ndiye mkuu wa ujasusi Katika jeshi la Uganda
**Tarehe Oktoba 27, 2026. Meja Jenerali Oscar Munanura aliteuliwa Kuwa Mkuu wa Ujasusi na Usalama wa Ulinzi Katika jeshi la Uganda (UPDF)
**Mkuu wa Majeshi ya Uganda na Mshauri Mkuu wa Rais wa Operesheni Maalum, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amempandisha cheo Brig Oscar Munanura hadi cheo cha Meja Jenerali na kumteua kuwa Mkuu mpya wa Ujasusi na Usalama wa Ulinzi (CDIS) wa UPDF.
**Hapo awali alikuwa ni Naibu Katika kitengo Cha ujasusi na usalama Katika jeshi la Uganda (CDIS) akiwa chini ya Meja Jenerali Richard Otto aliyekuwa mkuu wa kitengo hicho
**Meja Jenerali Richard Otto ameteuliwa Kuwa Usimamizi wa Rasilimali Watu kwa ajili ya kuhamisha kazi na Umoja Katika jeshi la Uganda..
