By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kutana na mh; Mollel Hillary diwani wa kata ya sakina,Arusha anayesifika uchapakazi
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
M23 yateka tena Rurambo na Munanira; majeshi ya Burundi na Kongo yakabiliwa na shinikizo
Za Kitaa/Street Talks
Anaitwa Albert Rudatsimburwa kutoka Rwanada, kijasusi unaweza kumwita Agent of influence .
Za Kitaa/Street Talks
Luteni Jenerali Emmanuel Karenzi:jasusi na afisa usalama kutoka Rwanda
Kijiweni
Uganda kuwaondoa wanajeshi wake mji wa Lubero Mashariki mwa DRC
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Herzon Ernest mkurugenzi wa kampuni ya Heirz Holding Tanzania,Aleta hamasa kwa vijana wengine Tanzania.
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Kutana na mh; Mollel Hillary diwani wa kata ya sakina,Arusha anayesifika uchapakazi
Za Kitaa/Street Talks

Kutana na mh; Mollel Hillary diwani wa kata ya sakina,Arusha anayesifika uchapakazi

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/27 at 2:37 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet

Mh; Mollel Hillary ni diwani Katika kata ya Sakina mkoani Arusha,Hakika ni kati ya wanasiasa vijana wanaofanya vizuri nchini Tanzania .

**Anasifika kwa utumishi na uchapakazi uliotukuka katika jamii hasa ndani ya kata ya Sakina mkoani Arusha ambapo yupo mstari wa mbele kusimamia,kufatilia maendeleo Katika kata hiyo. anayoongoza,

**Pia amekuwa mstari wa mbele Katika kutatua changamoto ambazo zinawakabili Wananchi Katika kata ya Sakina akishirikiana na serikali na chama chake mapinduzi (CCM).

**Baadhi ya Wananchi kutoka kata ya Sakina,Arusha wamesema Mh; Mollel Hillary Mollel ni kiongozi mchapakazi,mnyenyekevu,mbunifu ambaye anashirikiano nao Kwa Kila jambo ambalo linatokea kwenye jamii ndani ya kata ya Sakina..

**Mollel ni mwanasiasa mbobezi mwenye uzoefu wa uongozi maana kabla ya kuwa diwani wa kata ya sakina , mkoani wa Arusha amewahi kushika nyadhifa mbalimbali mfano..

#Rais wa chuo Cha Kodi ( TRA)

#Mhazini wa Tahliso jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu Tz (elimu wa juu Tanzania)

#Pia ni mjasiriamali aliwekeza kwenye biashara mbalimbali

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 27, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?