**Katika watu ambao nchi ya Kongo inatakiwa kuwashukuru ni rais Evariste Ndayishimiye hakika katoa mchango mkubwa Katika kupambana na M-23.
***Kama sio nchi ya Burundi M-23 wangekuea wamesonga mbele Katika uwanja vita
**Nchi ya Burundi imesimama na nchi ya kongo Kwenye kipindi kigumu hasa kwenye mapambano ya kupigana na kundi la waasi la M23 hakika Burundi imeonyesha urafiki wa kweli kwa nchi ya Kongo .
**Tujiulize Lini M-23 watakiteka mji wa Kinshasa kama walivyokuwa wanadai ? ? Sote tunajua kelele zao kwenye mitandao ya kijamii kwamba wana jeshi bora wakati kwenye uwanja wa vita kundi la wazalendo limekuwa likitoa upinzani mkubwa kwa M23
