*Kutana na (ALynder Nkuranga,afisa wa usalama ,jasusi mbobezi kutoka Rwandan
**Kwanza amezaliwa mwaka 1982..
**Huyu ana shahada ya uzamili Katika amani na migogoro.
**Lynder Nkuranga amewahi kuwa naibu kamanda mkuu wa polisi nchini Rwanda
**Amewahi kuwa kamishna wa ushirikiano na itifikati nchini nchini Rwanda..
*Mwaka 2020 rais Kagame alitemteau kuwa mkurugenzi mkuu wa idala ya usalama (External intelligence ) national intelligence and security (NISS)
**Ndiye mwanamke wa kwanza kuwa mkurugenzi wa ujasusi wa nchini Rwanda .
***Lynder Nkuranga kwasasa ni mkurugenzi mkuu wa idara ya uhamiaji nchini Rwanda ..
**Taarifa ambazo siyo rasmi Inasemekana amewahi kuishi Uganda na wazazi wake wanaishi huko.
**Taarifa siyo rasmi zinasema kabla ya kujiunga na vyombo vya usalama Rwanda alijaribi kujiunga na jeshi la Uganda lakini akakataliwa .
