“Mimi pia ni Mkristo, nasali, lakini sitaki makanisa kila mahali bila utaratibu. Ghafla tu mtu anaamka anasema nimeoteshwa usiku nimeshapewa uchungaji na Mwenyezi Mungu..? Mungu anatuma tu Mchungaji ghafla? Usiku? Na nyumba yote ameibadilisha imekuwa ni kwaya
Yani siku hizi mtu anaamka asubuhi anasema kaoteshwa awe mchungaji, anafungua Kanisa, huyo ni MUNGU wa aina gani ana muotesha Kila mtu?
Hayo nayo ni Makelele na ni uchafu. Kwa Mungu kunahitaji utaratibu”-Chalamila

