By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Mshukiwa wa mauaji ya kimbari aliyefukuzwa Marekani na kurudishwa Rwanda
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Huyu ndiye mkuu wa ujasusi Katika jeshi la Uganda\
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Zakia Hussein ambaye ni afisa usalama na jasusi mbobezi kutoka Somalia
Uncategorized Za Kitaa/Street Talks
Unataka kujua Tupac alikuwa nani ?? Je kwanini imechukua miaka 30 kubaini aliyemuua?
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Waziri mkuu wa Rwanda anayedaiwa ni jasusi mbobezi
Kijiweni
Je najua kitendo hiki kwenye ujasusi?
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uncategorized > Mshukiwa wa mauaji ya kimbari aliyefukuzwa Marekani na kurudishwa Rwanda
UncategorizedZa Kitaa/Street Talks

Mshukiwa wa mauaji ya kimbari aliyefukuzwa Marekani na kurudishwa Rwanda

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/10 at 2:46 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet
May be an image of text

**Rwanda imempokea Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kimbari Jean Léonard Teganya baada ya Kufukuzwa kutoka Marekani mnamo tarehe 9 Novemba 2026, ili akabiliwe na mashtaka kuhusiana na madai ya kuhusika kwake katika Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi ya mwaka 1994. ***Teganya alikuwa ni mwanafunzi wa zamani wa udaktari na anayedaiwa kuwa mwanachama wa chama cha MRND pamoja na kundi la wanamgambo wa Interahamwe, anatuhumiwa kushiriki katika kuwaua wagonjwa na wakimbizi wa Kitutsi katika hospitali moja mjini Butare, ambapo wahanga wanadaiwa kuuawa na kubakwa.

***Pia anahusishwa na mauaji ya wanafunzi katika hosteli ya chuo kikuu. Kulingana na Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka ya Rwanda (NPPA), Teganya alifunguliwa mashtaka mwaka 2014 kwa tuhuma za mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu.

***Bada ya kukimbia Rwanda mwaka 1994, inasemekana kuwa alipitia nchi kadhaa, ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, India na cnada kabla ya kuingia Marekani mwaka 2014.

**Akiwa nchini Marekani alitumikia kifungo cha miezi 97 jela kwa kosa la udanganyifu wa masuala ya uhamiaji na kutoa ushahidi wa uongo, baada ya kuficha madai ya kuhusika kwake katika mauaji ya kimbari wakati wa mchakato wa kuomba hifadhi.

**Kwa sasa anashikiliwa na Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka ya Rwanda (NPPA) na anatarajiwa kukabiliwa na mchakato wa kisheria kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.

See less

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 10, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?