By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Iran: Mwimbaji Parastoo Ahmadi amechapwa viboko 74 kwa kuimba bila kuvaa hijabu
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Nathalie Kienga kachero anayesimamia usalama na ulinzi katika ofisi ya rais nchini Kongo
Za Kitaa/Street Talks
Anaitwa Gina Cheri Walker Haspel Afisa usalama , jasusi namba moja duniani kwa upande wa wanawake
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye Bertrand Bisimwa anayeendesha maisha yake kwa kuanzisha makundi ya waasi nchini Kongo
Za Kitaa/Street Talks
Kutana na Tânia Paiva kijana mdogo anayeongoza idara ya kijasusi kutoka nchini Angola
Za Kitaa/Street Talks
Huyu ndiye kanali Tom Byabagamba mlinzi wa rais Kagame aliyefariki akiwa jela
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Iran: Mwimbaji Parastoo Ahmadi amechapwa viboko 74 kwa kuimba bila kuvaa hijabu
Za Kitaa/Street Talks

Iran: Mwimbaji Parastoo Ahmadi amechapwa viboko 74 kwa kuimba bila kuvaa hijabu

Baraka Bitariho
Last updated: 2026/11/25 at 12:44 PM
Baraka Bitariho
Share
SHARE
0
SHARES
ShareTweet

Mwanamziki wa Iran, Parastoo Ahmadi, ameadhibiwa kwa kuchapwa viboko 74 kwa kutumbuiza bila kuvaa hijabu, huku wafanyakazi wanne wa timu yake pia wakiadhibiwa na wote watano kupigwa marufuku ya kutumbuiza na kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili.

Parastoo Ahmadi (mwenye umri wa miaka 29) pamoja na wanachama wanne wa timu yake walipewa adhabu hiyo ya kupigwa viboko 74 huko Qom.

Sababu ya adhabu

Tamasha hilo lisilo na hadhira lilirushwa mtandaoni mwezi Desemba 2024 na kutazamwa mara milioni kadhaa kwenye YouTube, huku mahakama ya Qom ikiwahukumu kwa kukiuka maadili ya umma na kusambaza maudhui yaliyodaiwa kuwa machafu.

 Nchini Iran, wanawake hawaruhusiwi kuimba hadharani na wanapaswa kuvaa hijabu na mavazi yanayofunika mwili. Mashirika ya kutetea haki za binadamu, yakiwemo Amnesty International, yamekosoa adhabu hiyo ya kuchapwa viboko na kuitaja kuwa ya kikatili na isiyo ya kibinadamu.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Baraka Bitariho November 25, 2026
Share this Article
Facebook Twitter Pinterest Whatsapp Whatsapp LinkedIn Copy Link Print
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?