**Afisa usalama na JASUSI mdogo kutoka Afrika …..
*Anaitwa Tânia Paiva ambaye ni mtu mashuhuri katika ujasusi nchini Angola
**Huyu ni Naibu Mkurugenzi wa idara ya kijasusi nchini Angola inayojulikana kama The state intelligence and security service (SinSE)Huduma ya Ujasusi na Usalama ya Nchi (SINSE).
**Yeye ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo Katika mri mdogo zaidi nchini Angola
**Yeye ni mtaalamu IT ambayo alipata elimu hiyo nchini Angola na ufaransa.
Kutana na Tânia Paiva kijana mdogo anayeongoza idara ya kijasusi kutoka nchini Angola
Leave a comment
Leave a comment
