
**Alivunja rekodi na kuwa mwanamke wa kwanza nchini Tanzania kushika cheo cha Meja Jenerali ndani ya JWTZ.
**Ameitumikia JWTZ kwa takriban miaka 36 kabla ya kustaafu
**Pia mwanamke wa kwanza kuwa luteni mwaka 1975
**Anaitwa Zawadi Madawili, ambaye alijiunga na jeshi hilo mwaka 1972
