
**Imepitia Miaka 6 tokea jasusi tokea jasusi nchini Kenya atekwe na kupotea bila Majibu.
**Huyu anaitwa Mwenda Muthuri Mbijiwe ambaye alikuwa ni mchambuzi ujasusi na usalama nchini Kenya.
**Mwenda Muthuri Mbijiwe hapo zamani alikuwa ni rubani wa Jeshi la Anga la Kenya,
**Alitoweka mnamo Juni 12, 2021.inasemekana alitekwa nyara karibu na Roysambu, Nairobi, alipokuwa akisafiri kwenda Kaunti ya Meru kwa ziara ya kifamilia na shughuli za kikazi.
**Kulingana na ripoti za mahakama na ripoti za vyombo vya habari, mashahidi walidai alikamatwa na wanaume waliovaa nguo za kiraia, gari alilokuwa nalo
Mwenda Muthuri Mbijiwe baadaye lilipatikana limetelekezwa katika Kaunti ya Kiambu.
**Tangu wakati huo, familia yake imekuwa ikifuatilia kiiomba serikali imtoe—akiwa amekufa au hai.
**Mbijiwe alijulikana sana kwa kutoa maoni kupitia vyombo vya habari kuhusiana ujasusi ,usalama nchini Kenya kazi ambayo alikuwa a anafanya baada ya kustaafu kutoka kijeshi la Kenya
