Tokea Bishop of Hippo, mtu mweusi, alivyoongoza kikao cha NICEA kanisa, na kuweka msingi wa imani imara kikristo ndani ya kanisa katoliki wazungu waliapa kwa siri kuwa hawawezi kumchagua Mwafrika kuwa Papa. Kumbuka kwamba Imewachukua muda mrefu sana kuharibu aliyouajenga.
Vatikani imeshaongozwa na popu weusi na hata huyu Leo XIV mama yake alikua ni chotara – bibi yake alikua mtu mweusi kutoka Haiti. Popu waliokuwa weusi ni: Popu Victor 1, Popu Milteades, Popu Gelasius I
Popu Victor 1, – alitawala 189-199, alizaliwa sehemu ambapo leo ni Libya ama Tunisia

Popu Milteades, alitawala 311-314, alizaliwa Africa ila haijulikani ni wapi

Popu Gelasius I , alitawala 492-496, alizaliwa Tunisia

*Na walipochaguliwa moshi mweupe ulitumika kujulisha ulimwengu ya kwamba popu mpya amepatikana
