By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kwanini Wasilipwe Mishahara na Malupu lupu?
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Kipi Bora: Mira ama taratibu za kidini
Kijiweni
Kuporwa Passport Tanzania
Uvumi
Inatosha!!
Za Kitaa/Street Talks
Ninawaza kwa sauti!!
Kijiweni
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Career > Kwanini Wasilipwe Mishahara na Malupu lupu?
CareerDatingKijiweniZa Kitaa/Street Talks

Kwanini Wasilipwe Mishahara na Malupu lupu?

mzee Mwenyewe
Last updated: 2025/05/04 at 1:13 AM
mzee Mwenyewe
Share
Wanaitwaga majina mbali mbali. Mara utawasikia wanaitwa washauri, chawa, wapambe, na n.k. Ila kwa umuhimu wao, si ni bora wangelipwa mishahara na wawajibishwe pale wanapokosea? Kama umuhimu wao haupo, basi achananeni nao. Msomaji, andika hapo chini, si walipwe mishahara na malupu lupu kwani ndio wanatimiza yale ambayo muheshimiwa anaepuka kuyatimiza hadharani.
SHARE

Ni Tanzania washauri huwa hawalipwi mishara na marupu rupu makubwa kama wapambe ? Sio tu kwa  matajiri hata wanasiasa wa pande zote.

Ni kwanini hapa kwetu Tanzania washauri huwa hawalipwi mishara na marupu rupu makubwa kama wapambe ? Sio tu kwa  matajiri hata wanasiasa wa pande zote.

Je Kuna umuhimu wa kuwa na nafasi guru ya mjumbe wa amani kati ya CCM & CHADEMA  ? 

Tumfufue nani: Mzee Sabodo, Mengi au Chande (aliyekuwa mkuu wa Freemasonry Afrika Mashariki) au tukubaliane kumteua mtu kama huyo na tumpe kinga kufanya kazi yake kwa uhuru bila uoga  ? Tafadhali kile kijiwe cha wakaanga mbuyu na wanafiki wa kituo cha demokrasia Tanzania.

Je Kuna umuhimu wa kuwa na nafasi huru ya mjumbe wa amani kati ya CCM & CHADEMA MWENYE kinga zote asiyeegemea upande wo wote ? 

Tumfufue nani: Mzee Sabodo, Mengi au Chande (aliyekuwa mkuu wa Freemasonry Afrika Mashariki) au tukubaliane kumteua mtu kama huyo na tumpe kinga kufanya kazi yake kwa uhuru bila uoga  ? Tafadhali kile kijiwe cha wakaanga mbuyu na wanafiki wa kituo cha demokrasia Tanzania.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
mzee Mwenyewe May 4, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?