By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Kuporwa Passport Tanzania
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Kipi Bora: Mira ama taratibu za kidini
Kijiweni
Inatosha!!
Za Kitaa/Street Talks
Ninawaza kwa sauti!!
Kijiweni
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uvumi > Kuporwa Passport Tanzania
Uvumi

Kuporwa Passport Tanzania

Mzee
Last updated: 2025/11/10 at 4:36 PM
Mzee
Share
Uvumi unaoendelea kuwa watanzania wanaporudi nyumbani huporwa passports, pesa wanazorudi nazo na kubambikiziwa kesi za ajabu. Kwanza, nchi moja haiwezi kushitaki mtu yoyote kwa tukio lililofanyika nje ya himaya yake ila hii sheria ya kimataifa inasemekana inapuuzwa kwa wale wanaoshikiria passport za kitanzania pale wanaporudi nchini Tanzania.
SHARE

Taharuki juu ya audio inayosambaa kwenye social media ni kwamba Watanzania wanaporudi nchini Tanzania wanaporwa passport na mali na kufunguliwa kesi.

Ifatayo ni hiyo audio na chini yake ni majibu ya kukanusha kilichoongelewa kutoka kwa idara ya Uhamiaji, nchini Tanzania.

Pia kumekua na lawama kuwa nchi ya Tanzania inawaadhibu Watz wanaoamua kuhamia nchi nyingine kwa ajiri ya kutafuta maisha bora hasa pale uchumi wa Tanzania unaposhindwa kutoa fursa tosherezi. Watz wanaolazimika kuchukua uraia wa nchi nyingine ili kutii sheria za nchi walizomo wanadaiwa kuwa wamepoteza uraia wao wa kuzaliwa bila kupewa nafasi ya kusikilizwa mahakani. Inaelekea serikali ya Tanzania inaona ni bora raia wao wavunje sheria ya nchi walizomo kuliko kutafuta namna ya kuishi kwa misingi ya kisheria. Hapo hapo, kulingana na matukio yanayodaiwa kuendelea nchini Tanzania, watanzania wanalazimishwa kudhihirisha upanikanaji wa pesa wanazorudi nazo nchini mwao. Kwa lugha nyingine na kwa usalama zaidi mtanzania mtiifu ni kutosafiri nje ya nchi ama kurudi nchini bila kuwa na senti yoyote mfukoni. Ni kwa nini mtanzania aadhibiwe kwa kuchagua kuishi kwenye taifa lingine ama kurudi na alichokipata ng’ambo nchini Tanzania?

Ukanushaji, kutoka idara ya uhamiaji nchini Tanzania unasomeka kama ifatavyo:

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee November 10, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?