DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Pasua jipu puuuu!-Ngara Kuna malalamiko ya Vijana Wilaya ya Ngara kupitia taarifa ya kija a mmoja mzalendo aliyejitambulisha kwa…
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Tusidanganyane, Tanzania kuna Amani, ama kuna uoga? Siku si nyingi tulisikia kuna watu walichukuliwa majumbani, jumba za ibada, kutoka kwenye…
Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Hawa wageni toka Kenya na Uganda waliokuja kusiikiliza kesi ya Lissu Tundu leo wameishia kulia lia wakiomba wasilikilizwe wao. Baadhi…
Mchuano Wa Ubunge Missenyi Kazi Kwa Wajumbe
Leo tunakwenda kutazamia jimbo na wilaya maarufu kwa wasomi wengi nchii hii ambalo ni Nkenge na ni wilaya ya Missenyi…
Moja ya R za mama ni Rungu?
Rais Samia alitanganza R nne katika uongozi wake. Je Unazikumbuka zote? Je Rungu ilikua moja ya hizo R ama ni…
Tanzania Law School wamefaulu wanafunzi 23 kati ya 821 sawa na 2.8%
Habari za leo wapendwa wasomaji. Leo ningependa kutoa ripoti kuhusu hali ya kuhuzunisha ya matokeo ya kozi ya uwakili kutoka…