Kipi Bora: Mira ama taratibu za kidini
Mkwe Asiekabilla lako Anapokelewaje. Je, ni bora mizimu ya mira ikubari ama ile ya kidini. Je Ubinadamu na taratibu zinazotambua…
Ninawaza kwa sauti!!
Na Sam Ruhuza Askofu Gwajima aliita press conference kama Mtanzania na kuongelea suala la Utekaji na kulaani pakubwa watekaji na…
Nini Faida ya Jumuiya?
Hiki kinachoitwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ni kitu gani? Kina manufaa gani kwa mtu wa kawaida kama ukazi tuu katika…
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Inasemekana vijana waliokuja kuokoa Tanzania walikua sio wakakamavu kama ilivyokua inatarajiwa. Walikua wamejiami na lugha ya kingereza wakajikuta wamedondokea katika…
Ni Kuboresha Uhuru ama Uchafuzi?
Hebu nitafakarishe nikushauri ila usinikengeushe kipambe. Hivi je ni kweli mabadiliko yanayohofiwa yakipitishwa ili kuboresha uhuru wa uchaguzi kipi kitatokea …
Popu Mweusi na Moshi Uwe Mweusi?
Tokea Bishop of Hippo, mtu mweusi, alivyoongoza kikao cha NICEA kanisa, na kuweka msingi wa imani imara kikristo ndani ya…
Kifo cha papa
Hivi ni coincidence tu au kuna siri gani kati ya watawala au makadinali wamarekani kuhusishwa na vifo vyenye utata vya…
Kwanini Wasilipwe Mishahara na Malupu lupu?
Ni Tanzania washauri huwa hawalipwi mishara na marupu rupu makubwa kama wapambe ? Sio tu kwa matajiri hata wanasiasa wa…
Kweli Tulifananishwa na Wafu, Usitufanye Mazuzu?
Inasemekana tuliitwa wafu, je Unatuona Sie Watanzania Kama Mazuzu? Hivi watanzania ni mazuzu au vipi..? Yaani mpaka TLS na Legal…
Hiki ndio sikielewi kwa wamarekani….
Hiki ndio sikielewi kwa wamarekani…. muda mwingine nawafanisha na watusi wa zamani… wazee wengi wanahadisia kuwa mtusi alikua anahama hama…
