Kwanini Tanzania inaunda tume ya tatu mfululizo ili kubaini wauwaji wa October 29 ?
Watanzania watarijie nini kwenye tume mpya yenye majaji wa kimataifa,? Je Tume ya mzee Chande haikukubalika haikuaminika?
Watanzania wanajiuliza maswali haya lengo ni nini la Tume hizi za uchunguzi? Safari hii uenda wapinzani wakapatikana na hatia za moja kwa moja kama ilivyogusia report ya Jiji Chande?
Usisahau kunifollow Projest Tz

