Yanga na Simba zimeonesha dhahiri pande zao za kisiasa kwamba Simba ni Chadema na Yanga ni CCM, mdau wangu wa michezo embu tujiulize unafikiri kwa nini soka la Tanzania halikui kimataifa?
Teams hizi mbili kubwa zinashindwa kutengeneza strong 💪 national team kuwakilisha nchi kwenye mashindano makubwa duniani siasa zimetawala vilabu hivi kila mtu anavutia upande wake bora kala kashiba.
Ifike hatua sasa Afrika mbadilike, hizi janjajanja kwenye siasa, michezo na kila sekta nchi nzima kwa ujumla hakuna maendeleo yanaweza kupatikana hata kidogo ndiyo maana mnazidiwa na Congo 🇨🇩 nchi yenye uchumi mbovu na vita.

