Nibaada ya mivutano na ukiritimba wa kisiasa uliopelekea waziri wa ulinzi Tanzania kufungia vyama vyote vya siasa kufanya mikutano ya adhara , Sasa jeshi la ulinzi limetangaza kutoa kibali kwa mwenye kuhitaji mkutano huku John Heche wa chadema akisema hatua hiyo sio ya kupongeza hata kidogo kwasababu Katambi alikuwa batili.
Vilevile jana pia imeshuhudiwa Rais wa nchi hiyo akifanya mkutano na viongozi wa vyama vyote vya siasa moja ya kauli ya Rais alisema kisiasa wapo vizuri sana ila kuna mmoja tu bado anawasumbua je nikiongozi wa chama gani aliongelewa?

