Mhanga mkubwa wa kwanza wa vita yoyote duniani huwa ni ukweli ! Zao la upotoshaji ukweli.
Kuna aliyefungwa ama kuadhibiwa kwa kusema ukweli? Na amini kuna mtu aliyepo gerezani, sasa anatishia kutokula, kwenda on a hunger strike in order for the change to take place.
Hivi ni kwanini Tanzania mtu akiwa mkweli tu basi anapachikwa majina na kutafutiwa kashfa ya haraka ili anyamazishwe. Matokeo yake tumekuwa nchi ya waoga, wanafiki na waongo tele.

Ni maaskofu wangapi wanafurahia kwa dhati life au kuzimia kwa salamu ya “Tumsifu Yesu Kristo” kwa kuibuka salamu ya taifa kujiabudu na kujitukuzwa “falsafa ya kichina na kipagani” eti, “nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Tanzania”
Tafakari.
Mungu akijibu kwa kutusahihisha na kudai nafasi na Utukufu wake tulalame ? Mie simo.