By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Uvumi
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uvumi > DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi

DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana

Mzee
Last updated: 2025/05/29 at 2:13 AM
Mzee
Share
Kanali Mathias Kahabi, DC Ngara
SHARE

Pasua jipu puuuu!-Ngara

‎

‎Kuna malalamiko ya Vijana Wilaya ya Ngara kupitia taarifa ya kija a mmoja mzalendo aliyejitambulisha kwa ji a la Thitho Philemon kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Kanali Mathias Kahabi, kuingilia masuala ya kisiasa kwa kushinikiza upande mmoja na kudhoofisha uhuru wa vijana wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi kama Ubunge na Udiwani.

‎

‎Naweza kusema hili ni joto linaloendelea kupanda kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu 2025. Fomu zitaanza kuchukuliwa June 28 ambapo Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongozo ya utumishi wa umma:

‎

‎Mkuu wa Wilaya ni mtumishi wa umma na mteule wa Rais, hivyo anatakiwa kuwa msimamizi wa serikali katika wilaya bila upendeleo wa kisiasa.

‎

‎Kuonyesha upendeleo au kuingilia mchakato wa kisiasa kwa kutishia au kudhoofisha wagombea wa upande wowote ni kinyume cha maadili ya utumishi wa umma na pia ni kosa kisheria.

‎

‎Kauli ya kuwakamata vijana kwa sababu ya kuchukua fomu za kugombea si tu inakiuka haki za msingi za kisiasa na kidemokrasia, bali pia ni matumizi mabaya ya madaraka.

‎

‎Ikiwa taarifa hii ni sahihi, ni vyema mamlaka husika kama Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, na hata Vyombo vya Dola kupitia Idara ya Usalama wa Ndani kuchukua hatua stahiki za uchunguzi na ufuatiliaji.

‎

‎Kwakuwa pia yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ulimzi na usalama, na mlezi wa makundi yote naweza kusema kweli amechemka na anatakiwa kuomba radhi. Kama haimhusu ajitokeze aweke wazi, ila kama aliteleza pia ajitokeze na kuweka wazi taarifa aeleweke.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee May 29, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?