By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uvumi > Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Uvumi

Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?

Mzee
Last updated: 2025/05/26 at 8:02 PM
Mzee
Share
Waishia kulia lia katika vyombo vya habari wakihadisia mkasa uliowakuta huko nchini Tanzania. Walitembelea Tanzania kama watalii ila nia yao ni kuingia na kusikiliza kesi mahakamani. walitakiwa wawe wamepewa visa ya kufanya kazi kwani mahakama ikiwa inaendeshwa, walipaswa wafate amri za jaji. Kwa kuwa wasingeweza nyanyuka na kuondoka tuu, kuwa mahakamani ni sawa na kuwa kazini. Mtalii anauwezo wa kuondoka muda wowote, kupokea ama kupiga simu, na kuamua kutopokea maelekezo ya jaji ama mtu mwingine.
SHARE

Hawa wageni toka Kenya na Uganda waliokuja kusiikiliza kesi ya Lissu Tundu leo wameishia kulia lia wakiomba wasilikilizwe wao. Baadhi ya watu wanadai haikupaswa wapigwe. Eti wangekamatwa na kurushwa kwao tuu. Wengine wanasema wapatiwa dawa kwani wangesikilizia ugomvi dirishani wa wapendanao, yaliowakuta yasingewakuta. Haijulikani kama walikua na kibali kinachowaruhusu kufanya kazi ama kutalii. Mahakama huongozwa kwa vipengere vya sheria vilivyobeba masharti na anayekubali kuyatii, huyo sasa anakua si mtalii.

Cha kusikitisha, kuna video inasambaa my7 anaiitambulisha kama polis akiagiza mgeni atoke hotelini. Hii video inadhihirisha kuwa wageni walikua chini ya mikono ya ulinzi, polisi wa Kitanzania Keanu hamna kibaka ambaye angefanikiwa kuendesha gari kutoka Dar hadi mpakani mwa Kenya ama Tanzania akitesa mwenzake na asisimamishwe njiani na polisi.

Haya majeraha waliyokuwa nayo ni kutoka na kile wanachojisema kuwa waliteswa sana wakiwa wamepewa lift ya bure kutoka kwa hao polisi.

Je, ni sahihi kwa hawa wageni kuteswa?

Kuna muhimu wa kupiga mgeni alitekuja kusikiliza kesi mahakamani?

Je haya yaliyowakuta yangewakuta kama angekua wamehudhulia msiba wa mtu mkubwa kama Rais JPM?

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee May 26, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?