By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Uvumi
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uvumi > Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi

Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?

Mzee
Last updated: 2025/05/26 at 10:06 PM
Mzee
Share
Ali Kibao alikua ni kiongozi wa Chadema ambaye alishushwa kutoka kwenye basi na waliosemekana ni polisi na siku kadhaa mbele kusemekana ameshatuacha. Nani alimuua na Kwa nini? Bado ni gumzo. Ila upoteaji wa uhai wake nao tusingizie Mungu kampenda sana ama ni kumtisha Mungu mizigo isiyokuwa yake?
SHARE

Tusidanganyane, Tanzania kuna Amani, ama kuna uoga?

Siku si nyingi tulisikia kuna watu walichukuliwa majumbani, jumba za ibada, kutoka kwenye vyombo vya usafiri na baadae miili yao iliokotwa imeshapoteza uhai.

Inasikitisha baadhi ya watu wanaopotea wanachukuliwa na polisi. Halafu watanzania ambiwa kuwa ndugu zao wapo salama ila ukimya unapovamiwa na jamii, basi polisi hao hao wanakili kuokota miili inayofanana na ndugu waliopotea ama waliochukuliwa na polisi.

Sasa kama chombo cha polis kimegeuka kuwa chombo cha watoa roho, si ingekua vizuri kuwekwa wazi kuwa kazi ya kulinda raia na mali zao wanaitimiza. Ila swala la kulinda uhai halipo kwenye makubaliano.

Ama Chadema peke yao ndio huchukuliwa na kupotezwa? Ikumbuke kina Romani Mkatoliki, Mohamed Dewji walikua sio wana Chadema.

Tuseme watanzania hawawezi kuhimili kuambiwa ukweli ama matusi yanawaumiza? Mo alikua anamtukuna nani, lakini kwani tunaweza sema wengine kupitia nyimbo zao ama kazi zao wanajikuta wanakosoa serikali. Ila serikali kama ni yao, wana haki zote za kuikosoa. Serikali ni sawa na nyumba, unapohisi inavuja, si unachukua muda kutafuta inapovuja ili upazibe? Ukosoaji ni moja ya njia ya kutafuta walipotoboka ili pashughulikiwe.

Mdude, mwana Chadema, alichukuliwa kutoka nyumbani yake na kwenda kuuwawa. Kisa cha kufupisha uhai wake ni kwa kuwa alia ni mwana Chadema ama?

Ni wangapi wameshapotelea kwenye mikono ya polis?

Mdude,….

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee May 26, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?