Hivi uvaaji unajengaga tafsiri fulani kutoka kwa wale waliokuzunguka?
Ni miezi kadhaa iliyopita Raisi wa Ukraine alipokua White House na Trump alipoulizwa ni kwa nini hakuvalia Suti kabla hajaja kwenye mkutano na Rais Trump ambaye ndie kama anaongoza ulimwengu?
Hili swali la kutovaa ipasavyo mbona haliulizwi kwa viongozi kutoka nchi za kiarabu wala India?
Je ni vazi ama ni kiasi cha pesa zilizopo mfukoni zinaleta tafsiri?