Inasemekana vijana waliokuja kuokoa Tanzania walikua sio wakakamavu kama ilivyokua inatarajiwa. Walikua wamejiami na lugha ya kingereza wakajikuta wamedondokea katika mikono ya viziwi.
Wamejikuta wana pesa nyingi, na kizungu kingi ila mbele ya watanzania, tumeishiwa kuwa na makovu. Tulidhani tutasikiliza kesi ila hali imetugeukia tunashinda tukihadisia yaliyotukuta kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Hawa vijana ni wanasheria wawili walioamua kwenda kama wanasheria kusikiliza kazi kwenye nchi jirani bila kuwa na visa inayowaruhusu kufanya kazi.
Raisi asisistia watumwe wengine. Wanaohitajika ni vijana wakakamvu, waliokuwa tayari kufaulu mafunzo ya kijeshi. Kingereza wala kiswahili sio moja ya kigezo kwani watatumia lugha wapendao kuitumia. Wakija wawe tayari na wataongea tuu.