By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Nini Faida ya Jumuiya?
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Wasikilizaji, Wasikilizwe Tena?
Uvumi
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Kijiweni > Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni

Nini Faida ya Jumuiya?

Mzee
Last updated: 2025/05/26 at 9:42 PM
Mzee
Share
Passport ya Jumuiya ya Africa Mashariki ambayo haitoi kibali cha kazi bali ni utambulisho tuu ambao ungetolewa na passport za nchi na si jumuiya. Kwa nini tubebeshane kitabu hiki kama hakinipatii ukazi wala uwezo wa kufanya kazi kwenye nchi ambayo si yangu ila ni mwana jumuiya wa kile kiitwacho Jumuiya ya Africa Mashariki? Hii jumuisha ni geresha ama?
SHARE

Hiki kinachoitwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ni kitu gani? Kina manufaa gani kwa mtu wa kawaida kama ukazi tuu katika nchi shirika ni changamoto? Mkenya anaambiwa amevunja sheria anapoishi Tanzania kwa zaidi ya miezi mitatu bila kibali?

Kama mrundi hawezi kuhama na gari lake Rwanda bila kulipa hela ya kodi?

Kama nchi moja inaweza kuvamia nchi nyingine ndani ya jumuia na nchi nyingine kugeuka bubu bila kujaribu kusuruhisha?

Kweli tunahitaji huu muungano ama ni jinsi ya kutengeneza kazi kwa wawakilishi wanaong’aa kwenye suti na luninga?

Tutafakari na tuungane kama kweli dhamira ni kuungana. Kama ni njia ya kutafuna pesa na kuabishana kwani nchi moja inapovamiwa na nyingine, nchi nyingine zinageuka bubu ama chochozi ili ugomvi uendelee.

Hatuwezi kuwa wamoja kama tutaendelea kuwa wanafiki.

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee May 26, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?