Hebu nitafakarishe nikushauri ila usinikengeushe kipambe. Hivi je ni kweli mabadiliko yanayohofiwa yakipitishwa ili kuboresha uhuru wa uchaguzi kipi kitatokea ?
1. Tundu Lissu anaweza akashinda uraisi ? Au tunaogopa kivuli tu !
2. Mama atashinda ila CCM itapoteza viti vingi vya ubunge? Kwa hiyo wabunge vihiyo / wapambe, chawa na kunguni wanamshauri mama vibaya ili kulinda nafasi zao?
3. Kuna uwezekano wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa Bara kama ilivyotokea visiwani ? Kuna hasara gani hili likitokea !