Tuachane na swala la Tundu Lissu kushinda hiyo kesi yake ya uhaini isiyo na mikono wala miguu.
Kwa kuamini kwamba Jaji Mkuu ndiye mtafasiri Mkuu wa sheria kikatiba kwa mfumo mahakama panapokuwa na ukakasi wa hakimu / Jaji katika kuelewa au kutekeleza majukumu.
Natafakari atasemaje kuhusu swala la mlewa madaraka mmoja Kutangaza kwa msisitizo kwamba CHADEMA imepoteza sifa ya kushiriki uchaguzi.
Huyu anajua hamna swala la constitutional interpretation/ reference au anajua Jaji Mkuu hana meno / uelewa wa kumzidi ?