By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Mchuano Wa Ubunge Missenyi Kazi Kwa Wajumbe
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Uvumi > Mchuano Wa Ubunge Missenyi Kazi Kwa Wajumbe
Uvumi

Mchuano Wa Ubunge Missenyi Kazi Kwa Wajumbe

Mzee
Last updated: 2025/05/10 at 12:00 AM
Mzee
Share
SHARE

Leo tunakwenda kutazamia jimbo na wilaya maarufu kwa wasomi wengi nchii hii ambalo ni Nkenge na ni wilaya ya Missenyi ambapo tayari wameomba tume ikubali jimbo na wilaya viwe na jina moja ambalo ni Missenyi 

Mchuano unasadikika kuwa mkali mwaka huu ndani ya chama cha mapinduzi kuliko kwenye chaguzi za jumla kutokana na historia za siasa za Missenyi kuwa za upande mmoja katika tafiti leo tunapitia baadhi ya watu wenye nguvu na wanaotajwa katika vijiji na vitongoji mbalimbali .

1. Frolent Kyombo huyu ni mbunge aliyeko madarakani akionekana kuwa bado na wafuasi kwa miradi na mafanikio makubwa ya Serikali ya hawamu ya sita anatarajiwa kutoa upunzani mkali huku maeneo mengine kama ubunifu na kuunganisha wanamissenyi vikitajwa kuwa kama ndio kushindwa kwake maana mpaka sasa jimbo limekuwa na migogoro mingi huku viongozi wengi wa chama hawako upande wa mbunge kwa kuwa alishiriki kampeini za ndani ya chama na kwa bahati mbaya watu aliwaunga mkono hawakupita na kumekuwa na minunguniko mikubwa 

2. Assumpiter Mshana  huyu aliwahi kuwa mbunge 2010_2015 lakini bado ameendelea  kuamini kuwa wanaccm wanaweza kumpa nafasi ya kuongoza tena kwaiyo analo kundi na 2020 alikuwa mshindani wa karibu wa mbunge aliyeko sasa madarakani wengi wanavutiwa na siasa zake za Umasikini siyo fungu letu ,Alama kubwa ni Mfumo mzuri alioweka wa kuwasaidia kina Mama kupitia SACOSS

3. Evance Kamenge  huyu ni kijana mdogo mjasiliamali na mchumi ambae anatambulika kama public figure ni mjenga hoja mzuri kwenye vyombo vya habari na midaharo mikubwa nchini amekuwa kijana wa mfano kwenye mambo mengi yeye ni mkulima na mfugaji mzuri ila ni mkurugenzi wa makampuni anamiliki KGM (Kamenge gold mine geita)  Vijana na watu wengi wanavutiwa na hoja zake hasa za kuwainua watu kiuchumi na misimamo yake ya kutaka viongozi kuwajibika sawa sawa ni msomi mzuri na anayefanya mambo kwa jamii yake mda sasa na mwaka 2020 alikuwa kati ya washindani watatu wa karibu wa mbunge wa sasa 

4. Projetus Tegamaisho  huyu ni mwenyekiti wa halimashauri na diwani wa kata ya kyaka ambae hivi karibuni ameonekana kukubalika sana katika jimbo huku akionesha uwezo mkubwa kwenye kusimamia miradi ya halimashauri ana wavutia wengi kwa kuwa anaishi wilayani hapo na anashiriki mambo ya kijamii sana changamoto yake ni Ukanda na historia ya Siasa Ya Missenyi inayoamliwa na Tarafa ya  Kuziba Ni Mara Chache Mtu kutoka Tarafa ya Misseny kiuhalisia kuwaongoza wasomi hawa.Ingawajee Ukweli ni Kwamba toka Kifo cha Mzee Katunzi huyo Jamaaa Tegamaisho ndiye ameshikilia Siasa za Missenyi japo zipo tetesi kuwa Si Mtu wa Ukanda huo maana yeye ni mzaliwa wa Bukoba vijijini licha ya kuamia Missenyi na kuweka Mizizi  mpaka kukubalika na Kuaminiwa

Yote Juu ya Yote kazi kwa wajumbe 

5. Kundi hili Wanaitwa *Matection* ni Wale Watia Nia Wajanja wajanja wanaotumia kivuri cha Siasa kuwalaghai Watu na kujipatia upenyo wa kuficha Maovu yao Inasemekana upenda kujipa nafasi kama Maafisa sehemu flani nyeti hama Usema wametumwa kwa Kazi Maalum ,Ndo wale uwezi kupata Kisa chochote kinachoweza kuzungumizia mhusika alitenda wema wakati flani au Sehemu flani zaidi ya Kuwanunulia Watu Pombe na Kujikweza   *Yetu Macho*

6 .Hawavumi Lakini Wanatikisa Hili ni Kundi  la Watu flani Makini wanaojua dhamani na wajibu wao Kwenye Jamii hapa Utajikia Majina Kama Thobias ,Julias  Na Mzee wa Mutukula wakitanjwa tanja Siasa za Missenyi

Kwa leo nimewaletea jimbo la Missenyi jimbo ambalo ni lango la nchi yetu kuelekea kwa majirani zetu 

#LiwaloNaLiwe, #Missenyi, #Kagera, #Ngara, #Kagera, #Bunge

#LiwaloNaLiwe 

P.nk mwandishi wa habari za utafiti

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Mzee May 9, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?