Inasemekana tuliitwa wafu, je Unatuona Sie Watanzania Kama Mazuzu?
Hivi watanzania ni mazuzu au vipi..?
Yaani mpaka TLS na Legal Team ya CHADEMA haikuliona hili changa macho nan wizi wa mchana kweupe uliofanywa na Benki Kuu (BOT) !
Eti unapeleka noti za zamani za Tsh. 20, 50, 100, 200, 500, 1000, 2000, 5000 au 10,000/= za zamani kisha unapewa mpya ya thamani ile ile bila thamani kuongezeka hata ile 14% appreciation rate kwa mwaka tunayoijua ! Unaijua taarifa na kipengele kinachotumika hapa katika mfumo Benki kuu duniani na IMF? Sawa na mali kale au unclaimed funds of NAZI victims !
Hakuna zuio la kimahakama la zoezi ! Nani mwizi hapa.