Hivi ni coincidence tu au kuna siri gani kati ya watawala au makadinali wamarekani kuhusishwa na vifo vyenye utata vya mapapa wasioelewana nao ? Na ni kwanini kila papa anaekufa kwa utata huonekana amefariki muda mfupi tu kabla au baada kufanya mabadiliko ya kiuongozi ndani ya Vatican Curate ?
Tazama yaliyomkuta Papa Albino Luciani (mtangulizi wa Yohane Paulo wa pili) baada ya kuvutana na Cardinal Coody wa Chicago pamoja na rafiki yake katika uovu Cardinal Marcincus !
Soma kitabu cha David Yallop kiitwacho “How they killed the Pope”
Ni wazi Luciani alitaka Freemason na Mafia wote wafukuzwe kanisani.
Katika ulimwengu wa Roho maneno na ishara huwa vina nguvu sana. Hapa tunajiuliza maneno ambayo Vance alimnong’oneza Papa kisha akamgusa kiwiko na goti bila kuibusu Pete ya Papa. Ni dhahiri Papa alionekana kufadhaika na kutetemeka huku akimnyoshea kidole Vance.
Hao watu waliotumbuliwa na Papa majuzi hivi unawafahamu vizuri ?
Unafahamu sababu ya Papa kutokufanyiwa postmortem baada ya Albino Luciani ? Tafiti ?