By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Hili Janga ni La Nani?
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Za Kitaa/Street Talks > Hili Janga ni La Nani?
Za Kitaa/Street Talks

Hili Janga ni La Nani?

mzee Mwenyewe
Last updated: 2025/05/04 at 12:50 AM
mzee Mwenyewe
Share
Kausha Damu ni neema ama ni laana? Kuna wanaosaidika na kunawaojuta. Serikali mmekaa kimya. Ukimya utatatua changamoto zilizopo?
SHARE

Kila siku tunaambiwa serikali haipendi Wafanyakazi na Wananchi wake wakamuliwe na mikopo ya kausha damu. Hivi wanamaanisha au wanatutania ? 

Ulishatafakari? Mtu akifungua ofisi za kampuni ya kausha damu tu kinachofuatia ni kuitisha kikao cha siri serious cha kikazi kwenye mgahawa na Mkurugenzi, wakuu wa idara na maafisa utumishi. Mwisho wa utambulishano, kwa posho ya Tsh. 1 – 2 M hao wanaondoka kwenda kuwabadilishia / hamisha vituo vya kazi watumishi 200 – 300 ndani ya halmashauri bila kuwalipa fedha au stahiki za Uhamisho. 

Wakiuliza utaskia, “jaza fomu za madai… ila fanya ufanyavyo uhame”.

Kwa kifupi mtu anakopa TSh. 2M za kausha damu ili ajihamishe. Riba ni 30 -50% kwa mwezi

Hebu tafakari maisha ya baadae ya mwalimu au muuguzi aliyekopeshwa TSH. 1.5 au  2M kisha akalipa laki 4 mwezi unaofuatia ukizingatia kwamba riba Mayo pia inazaa. 

Miaka miwili baadae unakutana na baadhi ya hao watumishi akili zimefyatuka wanaongea pekee zao mabarabarani deni lishatuna kadiria 30M ! 

Tulizuieje hili janga na nani alaumiwe  ?

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
mzee Mwenyewe May 4, 2025
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?